Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akiwa katika picha ya pamoja na wanamichezo kutoka Bunda kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma leo.  Kushoto kwake ni Mbunge wa Bunda na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Mh. Stephen Wasira na kulia ni Mbunge wa Viti Maalum, Mh. Esther Bulaya.
Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa  Busanda, Mh. Lolesia Bukwimba  na Mbunge wa Viti Maalum, Lucy Owenya  (katikati) kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...