Mshambuliaji wa timu ya Ocean View ya Zanzibar, Said Rashid (kushoto) akitafuta mbinu ya kumtoka beki wa Red Sea ya Eritrea, Temesgen Asefaw katika mchezo wa kombe la Kagame Castle Cup uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam. Ocean View ilishinda mabao 2-0. PICHA NA FRANCIS DANDE WA GLOBU YA JAMII.
Home
Unlabelled
zanzibar ocean view yazidi kuchanja mbuga kombe la kagame castle cup
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
hongera sana ocean view tunakukubali kwa kuonesha kiwango kizuri hasa katika mashindano haya kimataifa. big uuuuuuuuuuupppppppppppppppppp
ReplyDelete