Nape akiongoza wanachama wapya wa CCM kula kiapo, baada ya kuwakabidhi kadi za CCM, wanachama 30 wwalijiunga wakiwemo kutoka chama cha CUF.Kushoto ni Katibu wa NEC Oganaizesheni, Asha Abdallah Juma.
 Mashabiki wa CCM wakishangilia wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika wilayani Tandahimba mkoani Mtwara.
KATIBU wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akimjulia hali Somoye Ismaili (70) aliyekuwa akisubiri matibabu kwenye chumba maalum cha kuhudumia wazee, katika hospitali ya Wilaya ya Lindi mjini, juzi. Nape alitembelea hospitali hiyo, mwishoni kwa ziara yake ya siku mbili mkoani Lindi. Wapili kulia ni Katibu wa NEC, Oganaizesheni CCM, Asha Abdallah juma


KUONA PICHA ZAIDI,BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 28, 2011

    tumechoka na habari za nape

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 29, 2011

    I thought Nape was a young guy, ila kapewa madaraka na kitambi kapata! CCM OYEEEEEEEEEEEEE! nenda gym kaka utafanana na wazee wa ccm muda si mrefu, iga January Makamba, bado skinny!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...