![]() |
Ankal akijadiliana jambo na Sunday Shomari wakati Da' Khadija Riyami akipiga boksi katika chumba cha habari cha Idhaa ya Kiswahili ya Voice of America (VOA) jijini Washington DC |
![]() |
Ankal akiwa kazini |
Ankal akila kakonozzzz na Da' Aida Issa, mtangazaji mahiri wa Voa Idhaa ya Kiswahili ambayo kwa sasa inachanja anga kama haina akili nzuri kwenye nchi zote zinazoongea lugha ya Kiswahili duniani
MUONGOZO
ReplyDeletealooh ; hii Da fulani imezidi , hao wengine mnao waita kina da fulani wengine si ni rika letu sasa hamtutendei haki ; nadhani tumieni weledi wa uandishi wa habari.
Misupu usitudanganye bwana hapo hakuna KONOZZZZZZZZ bali umeshika KITI kule nyuma kwa kuegemea.
ReplyDeleteUnadhani kila mtu anapenda konooz lako hilo? Subutu kama hayajakukuta ya Yule Boss wa IMF- Strauss. Hiyo ndo Amerika bwana, sio bongo. Konozz lako ni hukuhuku BONGO.
Ukichukia usipoiweka poa lakini mesej sent.
Tehe teh tee!
akal tisheti yako bana
ReplyDeleteSasa hapo upo kazini na hiyo PC ishakuwa locked daah michuzi hapo unatuibia!
ReplyDeletekaka naona unajiandaa kula box hapo, itabidi u log in kwanza lakini, ama sivyo hutapata dolari (dollar).
ReplyDeleteAnkal badili hio fulanaz basi tangu ufike hio hio tuu.....majasho ya Bongo....duh
ReplyDeletePassword unayo au unahack computer ya watu.
ReplyDelete