Home
Unlabelled
askofu mkuu wa kanisa la Anglikana Valentino Mokiwa apasua jipu la viongozi wa dini wanaojihusisha na madawa ya kulevya
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kweli wawataje maana ninachoona hapo isije kuwa serikali imetunga ili kuchafua viongozi wa dini. Inawezekanaje mtu awe anauza madawa afu eti mnamuhifadhi sijuhi ili mlinde heshima yake ya dini. Ana heshima gani. We are tired na kulindana na uongo.
ReplyDeleteIs true wasipowataja wanawaogopa na au wamezua tu kuharibu dini za watu. Ovyo mtamlindaje muuaji anaye tumia Mungu vibaya. PLease put it open. We want to know even if is my pastor, bishop is better to know where are we
ReplyDeletemimi nashanga sana na hii serikali yetu. Unaposema kuwa viongozi wa dini wanauza madawa ya kulevya. Sasa kama wanauwakika na hilo sheria zipo wapi. Nakama sheria ipo mbona haichukui nafasi yake. Je serikali inatufundisha nini sisi wananchi. Huku ni kujitia aibu kwa serikali kama hakuna ushahidi wakae kimya kabisa. Kuna mambo ya msingi yanatusumbua umeme. Fedha rada tena xanaushaidi lakini haxafuatili. Sasa wanaleta hili la viongozi wa dini. Tuache kuzua mambo amboyo hayana msingi
ReplyDeleteKwa kweli serikali siielewi kabisa. Nadhani viongozi wa dini waishinikize serikali iwataje na kuwachukulia hatua hao wauza madawa otherwise tunaelekea pabaya na tutaanza kosa imani na viongozi wa dini wote. Nimeshaona kwenye mtandao mmoja watu wameanza kuzozana wakisema kuwa dini zinauza madawa Zanzibar. Hii ni hatari sana watajwe na washughulikiwe. Ina maana sheria ipo kwa ajili ya kina sie tu???
ReplyDelete