Rais Jakaya Kikwete akipokewa na mamia ya wananchi wa Mwandiga mkoani Kigoma waliofurika jana katika sherehe za ufunguzi wa barabara yao ya Kilomita 60
Rais Kikwete akizindua rasmi barabara ya Mwandiga-Manyovu yenye urefu wa km 60 iliyoko mkoani Kigoma
Rais Kikwete akikata utepe na kufungua pazia kuashiria ufunguzi rasmi wa barabara ya Mwandiga-Manyovu yenye urefu wa km 60 iliyoko mkoani Kigoma. Picha na John Lukuwi
Ankal hapo waliposimama ndio lami yenyewe? Tupe hata picha basi jinsi inavyoonekana kama walivyofanya Wachina walipozindua ile ya kwao ya kukatiza baharini.
ReplyDelete