Moshi ukifuka toka mgahawa wa Epidol unaowaka moto wakati huu na faya bado hawajafika... Habari zaidi baadaye

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 16, 2011

    Mi nadhani ili kupunguza madhara ya moto kama hivi iwekwe sheria kwamba kwa kuanzia hoteli zote kubwa kubwa na migahawa viwanda vidogovidogo,shule za kutwa na bweni,vyuo,makanisa,misikiti,ni lazima kuwe na fire hydrants ili kurahisisha kazi ya uzimaji moto hata kama ikija gari ya faya ikute resources zipo tayari ili kurahisisha kazi ya uzimaji moto,vinginevyo kila siku tutakua tunawalaumu faya kwa uzembe kumbe sisi wenyewe ilitakiwa tuanze kudhibiti moto kabla haujafikia hatua ya kukomaa kutumia fire hydrants. Hata kwenye majumba yetu wengi hatuna emergency exits, magrili tu yamejaa hata milango yetu haifunguki kuelekea nje inafungukia ndani siku ikitokea dharula ni tatizo.Inabidi tubadilike jamani kwani pamoja na kwamba moto ni rafiki yetu kwa namna moja kwa namna nyingine ni adui yetu ambaye tunapaswa kujiadhali kwa kujenga mazingira ambayo yatarahisisha udhibiti wa adui moto kama ilivyo kwa adui mwizi, kwani afadhali ya mwizi ambaye anachagua vya kuiba, adui moto yeye anaiba kila kitu na kutuachia umasikini, kwani wengi wetu hatuna bima za moto.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 16, 2011

    Uncle naona hapo kiswahili kimetumika ndivyo sivyo kwa mtazamo wangu kuhusu kichwa chahabari,(unaungua moto sasa) matumizi yaneno sasa inaashiria nikitu kilchokuwa kikisubiriwa,ilitakiwa umalizie na neno (sasa hivi)nimtazamo tu masela msijenge chuki.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...