kikundi cha SOUNDS OF TARAAB kikitumbuiza jijini New York
Viongozi wa jumuiya ya Watanzania New York, Marekani, wakiwa meza kuu na mgeni rasimu ambae ni balozi wetu kwenye Umoja wa Mataifa, Mh. Ombeni Sefua (wa pili shoto). Kulia ni Mjumbe wa Jumuiya Bwana Chiume, wa pili ni Mwenyeketi wa Jumuiya Bwana Hajji Hamis na kushoto ni afisa wa ubalozi New York Bwana Mero wakiwa katika burudani hiyo murua kabisa Mwimbaji wa Sounds of Taarab akirusha roho mashabiki kwa mipasho
Belly dancer wa Sounds of Taarab akionesha umahiri wake wa mambo ya kimwambao
Kama kawa mduara ulipigwa na kupagaisha
Mweka hazina na mratibu wa mpango mzima wa jambo hili kutokea Mzee Temba akiwa na baadhi ya wadau waliohudhuria shoo hii. Picha na Ny Ebra wa Globu ya Jamii, New York City
Mambo yalikuwa murua sana. Jumuia ya Newyork Oyeeeeee! Oyeee! Kazi safi sana!
ReplyDeletehaya haya wee kuleni pesa za wanachama
ReplyDelete