Kimwana wa Twanga Pepeta 2011 Mary Khamisi akivikwa shada lake baada ya kushinda kwenye fainali zizo usiku wa kuamkia leo ktika ukumbi wa Ubungo Plaza jijini Dar es salaam
Kimwana wa Twanga Pepeta aliyemaliza muda wake akisubiri kukabidhi taji kwa kimwana wa mwaka huu

Walioingia tano bora wakipasha kabla ya kupanda mmoja mmoja kupata washindi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 10, 2011

    PESA HAINA ADABU JAMANI LOH! UMASKINI MZIGO

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 10, 2011

    Ungetuwekea video ndo ingenoga hatujafaidi wala nini!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...