Wadau wakifurahia   baada ya kulamba Nondozzz  za Utalii (Hospitality & Tourism Management) katika chuo Kikuu cha Lumumba  Friendship University, Moscow- Russia.
 Furaha ya kula nondozzz
Wadau wakiwa na marafiki na wahadhiri baada ya kul nondozzz

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 03, 2011

    muitetee elimu yenu kwani Urusi eleimu yake yadharauliwa na hata wasio soma.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 04, 2011

    Elimu ya urusi unasema inadharauliwa wakati viongozi wenu wote wamesoma urusi au kwa mantiki gani umesema hivyo?

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 06, 2011

    congrats my sister Aisia,u deserve it,umependeza wewe

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...