hoteli ya kisasa inayojulikana na kwa jina la Coffee Tree Inn inayomilikiwa na chama cha ushirika wa wilaya ya Karagwe iliyoko katika manispaa ya Bukoba Hoteli hii,  ambayo ilizinduliwa rasmi na rais Kikwete, itaanza  rasmi Julai 29, mwaka huu. Picha na Audax Mutiganzi wa Globu ya Jamii, Bukoba

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 25, 2011

    Coffee Tree inn inamilikiwa na KCU LTD na sio Karagwe.(KCU -Kagera Cooperative Union)

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 25, 2011

    Hii hotel siyo mpya, ilikuwepo miaka mingi sana, mimi nimeanza kuiona miaka ya 80. Nafikiri wameikarabati na kuifanya ionekane bora zaidi, hivyo siyo hotel mpya. School mate wangu Mtiganzi hapo umechemka!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...