Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 23, 2011

    Asante sana mheshimiwa rais wetu mpendwa tunakushukuru kwa utendaji mzuri wa kazi katika kutuongoza watanzania na mungu akuzidishie roho ya huruma na upendo ameen

    nimevutiwa sana na huo msafala wa mheshimiwa raisi yani ni mzuri na umependeza sana kuanzia ulinzi wa mheshimiwa rais mpaka magari anayotumia kwenye msafala wake

    jambo moja tu ambalo sitochoka kuchangia mada ni kuhusu huyo bodigadi anaevaa sale yani magwanda ningependelea wahusika wabadilishe staili hiyo ya kuwa na bodigadi mwenye magwanda kwani anatia uwoga jamii na kuharibu taswila

    ningependelea bodigadi avae nguo za kawaida au hata suti

    NIWACHEKESHE KIDOGO WANA JAMII

    WAKATI MHESHIMIWA RAIS MTAAFU ALI HASSAN MWINYI ALIPOKUWA RAIS ALIWAHI KUTEMBELEA WODI MBALI MBALI ZA WAGONJWA HOSPITALI YA MUHIMBILI
    HALI ILIKUWA KAMA IFUATAVYO

    MTAAFU RAIS MWINYI ALITEMBELEA WODI YA WENDAWAZIMU ALIPOFIKA HAPO WODINI MAMBO YAKAANZA

    MMOJA KATI YA WENDAWAZIMU ALICHEKA SANA ALIPOMUONA MZEE MWINYI KIASI KWAMBA ALIWASHNGAZA WENGI KWA KICHEKO CHAKE MPAKA IKAFIKIA WAKAMUULIZA HUYO MWENDAWAZIMU UNACHEKA NINI...??

    MWENDAWAZIMU...NACHEKA HUYO BWANA ANAELETWA HAPA NA KUNDI LA MAPOLISI NA WANAJESHI MAANA MIMI PAMOJA NA WENDAWAZIMU WANGU WOTE NILIKAMATWA MTAANI NAJISAIDIA BARABARANI NIKALETWA HAPA NA POLISI MMOJA TU

    SASA NASHANGAA KUONA HUYO BWANA ANALETWA HAPA NA KUNDI LA MAPOLISI NA WANAJESHI INAONYESHA YEYE ALIFANYA MAKUBWA ZAIDI HUKO MITAANI MPAKA AKASHINDIKANA KULETWA KAMA MIMI IKABIDI WATUMIWE KUNDI LA POLISI NA WANAJESHI KUMFIKISHA HAPA

    WATU WOTE HAHAHAHAHAHAHAAAAAA HAHAHAHAHAAAAAA......LOL

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...