Rais Jakaya Kikwete akifurahia jambo na Mbunge wa Kigoma Kusini David Kafulila(NCCR-Mageuzi) na Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Kanali Mstaafu Joseph Simbakalia (kulia) wakati wa sherehe za uzinduzi wa ujenzi wa barabara ya Kidahwe-Uvinza kwenye kijiji cha Kazuramimba.
Engineer Mkuu wa TANROADS Patrick Mfugale akitoa MaelezoMchoro wa Ujenzi wa Daraja la Malagarasi Mkoani Kigoma baada ya Rais Jakaya Kikwete kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Daraja hilo.
Picha na John Lukuwi
Kazuramimba ni mji ulioanziswa wakati wa ujenzi wa reli ya kati enzi za utawala wa kijerumani.Jina hilo lilitokana na mama wa kijerumani alikufa eneo hilo wakati ujenzi huo ukiendelea akiwa mja mzito hivyo wenyeji wa huko ndio walitoa jina hilo, mzungu kafa na mimba.
ReplyDelete