Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk. Mwinyi Haji Makame Kulia akimsikiliza Naibu Waziri wa Afya Dk. Sira Ubwa kushoto wakati akifafanua jambo nje ya Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi.katikati ni Mwakilishi wa Viti Maalum CCM Mh. Mgeni Hassan.
Wajumbe mbalimbali wa Baraza la Wawakilishi,kutoka kulia ni Mh. Subeit Khamis, Mahmud Mohammed, Assaa Othman, Mohammed Said na Mwakilishi wa zamani Ramadhan Nyonje, Hijja Hassan na Omar Ali Shehe wakibadilishana mawazo nje ya Baraza la Wawakilishi Mweni Zanzibar.PICHA NA HAMAD HIJJA-MAELEZO ZANZIBAR

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 15, 2011

    aFADHALI MICHUZI UMEKUMBUKA BARALA LA WAWAKILISHI NILIFIKIRI ZANZIBAR HAKUNA HABARI ILA ZA MUUNGANO TU,ANYWAY JE WAMEFIKIA WAPI KUHUSU MUUNGANO,NA MBONA WAZIRI WA MUUNGANO ANASEMA USICHOKONOLEWE,HIVI KWA NINI TANZANIA HAIWAELEWESHI WATANZANIA MAANA YA MUUNGANO KILA SIKU WANASEMA UNALETA FAIDA KUBWA BILA KUZITAJA NA KUBWA ZAIDI NI AMANI NA UTULIVU HICHO NDIO KIJIPOINTI CHAO,CHENGINE ATI UMEWEKWA NA WAASISI SAS WALIKUA MITUME WA NGAPI HATA KILA WALICHOKISEMA KISIANGALIWE,jamani hii ni dunia ya utandawazi uking'ang'ania bidhaa za miaka 47 wenzako wanaendelea kuvumbua tu,mabadiliko ni lazima mambo mengine hayaendani na karne hii

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...