Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na wanakwaya ya Kanisa la Moravian ya Mbeya Mjini kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma leo.
Mbunge wa Mtera, Mh. Livingstone Job Lusinde akiwa na Mbunge wa Kigoma Kusini Mh. David Kafulila kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma leo.
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
Ankal, ni Livingstone Lusinde. Kama sikosei Job Lusinde, waziri wa awamu ya kwanza, ni baba yake.
ReplyDeleteAnonymous kwa kwanza hapo juu: Ni kweli Mbunge wa Jimbo la Mtera anaitwa Livingstone Lusinde. Lakini si kweli kuwa ni mtoto wa mzee Job Lusinde kama ulivyosema, bali ni jina tu (yaani Lusinde) linafanana. Kwa wenyeji wa mkoa wa Dodoma, ndg zetu Wagogo jina la Lusinde lipo katika na familia nyingi hata kama familia hizo hazina uhusiano wa kiukoo.
ReplyDeleteLUSINDE aka MTAMBO!
ReplyDelete