![]() |
Msanii toka Marekani Ludacriss akipozi na nyota wa Bongo Fleva. Toka shoti ni Mwasiti, Mwana FA, Ludacriss mwenyewe, Dogo Ditto, Joe Makini na Profesa J |
Wiki hii wanafunzi kutoka shule mbalimbali za Dar es salaam walishuhudia muziki na kucheza muziki vyote vikifanya na vijana wenye vipaji wa THT ikiwa ni sehemu ya igizo la Hadi Lini lenye lengo la kuwaelimisha wanafunzi na jamii kwa ujumla umuhimu wa kujilinda dhidi ya Malaria, msanii Ludacriss akiwa mgeni rasmi. Hii ni sehemu ya Kampeni ya Kitaifa ya Zinduka Malaria Haikubaliki!
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...