Peter Chitela mmoja wa washiriki wa maonyesho ya maadhimisho ya siku ya ushirika duniani akiwa katika banda lake akionesha bidhaa anazotengeneza kutoka rasilimali zinazopatikana kwenye migomba.
Washiriki wa kongamano liliwausisha viongozi wa vyama vya ushirika lililofanyika katika hoteli ya Bukoba Coop Hotel.
Katibu mkuu wa wizara ya kilimo, chakula na ushirika, Mohamed Muya akitoa mada wakati wa kongamano liliwahusisha viongozi wa vyama vya ushirika nchini wanaoshiriki kwenye maadhimisho ya siku ya ushirika duniani yanayofanyika kitaifa mkoani Kagera katika viwanja vya Jimkana vilivyoko katika manispaa ya Bukoba, kongamano hilo lilifanyika katika hoteli ya Bukoba Coop Hoteli.
Picha na Audax Mutiganzi wa Globu ya Jamii, Bukoba





Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...