Miss Tourism Mbeya 2011 Mackrine Jastine baada ya kunyakua taji
Toka kushoto ni msindi wa tatu Dina David katikati mshindi wa kwanza, Mackrine Jastine, na mshindi wa pili Anna Barnabas
Washiriki wa Miss Tourism Mbeya wakiimba wimbo wa Taifa
FM Academia walikuwepo kumwaga Ngwasuma katika shindano hilo la kumsaka Miss Tourism Mbeya
Washiriki wa Miss Tourism Mbeya wakiwa katika mavazi ya Ubunifu
Washindi wa kwanza mpaka wa nne katika shindano hilo wakiwa katika picha ya pamoja

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...