Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Anne Makinda (kati) akipokipokea taarifa ya marejesho ya malipo ya Rada kutoka kwa Naibu Spika Mhe. Job Ndugai (kulia) aliyeongoza timu ya wajumbe kwenda Uingireza kujadili jinsi marejesho hayo yatakavyafanyika.Kushoto ni Mbunge wa Ilala,Mh. Mussa Azan Zungu.
Wanahabari waliohudhuria tukio hilo wakipata ufafanuzi kutoka kwa Naibu Spika.Picha na Prosper Minja-Bunge.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...