Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 07, 2011

    Yanga siku zote huwa wanafunika Simba kwa wanaoenda uwanjani wanalijua hilo ..

    Mimi

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 07, 2011

    Simba hakuna kitu! Wamedoda....Yanga wachangamfu zaidi!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 07, 2011

    Ni wazi Simba ni Taifa Kubwa na ni ZAIDI. Ila Mithupu mYanga inovoonesha kwani umetoa dakika 2.29 kwa washabiki wa Simba na dk 3.04 kwa Yanga. Rangi zako za Bwawani ni Simba ss vije???????????

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 07, 2011

    Wote wahuni tu. Hakuna lolote!!

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 07, 2011

    Simba nawapa 10/10
    kikundi kidogo kinaongoza ushangilaji, kwa utaratibu unaoelewekana unafuraisha

    Yanga nawapa 5/10
    Wanaoshangilia wamegawanyika, akuna utaratibu maalimu, na ushangiliaji wao aueleweki.

    Timu zote zinabidi kuiga kuwa na ushangiliaji wa pamoja na washabiki wao ili kuongeza makeke ya shamrashamra kiwanja kizima

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 07, 2011

    Ebu jamani tuache ushabiki.Viwango vya timu zetu hizi za Simba na Yanga viko chini ukilinganisha ni timu tulizozishuhudia kama El Merreik,Ulinzi,Elman,Red Sea,Bunamwaya,St.George(wanasema mpira ni ushindi lakini...).Timu za wenzetu zinafurahisha kuziona zinavyocheza..mpira ni ushindi na burudani vile vile..unaona kabisa timu zimefundishwa..sisi mambio tu bila mpango.Michuano hii ya CECAFA inazisumbua sana timu za Yanga na Simba je CAF champions league wataiweza?Jibu kila mtu analo...Tumekuwa na maneno mengi badala ya vitendo..Haya mambo ya vijembe vya simba na yanga hayasaidii..Tunataka hizi timu zipambane na vigogo vyingine vya Africa.

    Mdau David V

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 07, 2011

    Simba wanashangilia vizuri tena wanaeleweka yanga hawashangilii bali wanafanya fujo
    mdao
    kisiju pwani

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 07, 2011

    Kushangilia ni kupiga kelele tuu hakuna cha ziada wanaosema mpangilio mpangilio gani? Kwanza hao wanaoonekana hapo ni baada ya mechi kwisha. Yanga huwa wanawafunika sana Simba hilo hakuna ubishi na sisemi hili ku=wa kufuata hizo video bali ni maisha ya kila siku uwanjani.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 08, 2011

    simba wana kelele nyingiiii!!! halafu young africans wanafujo sanaaaaa!!! MDAU TOKA BUJA

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 08, 2011

    yanga washabiki wooooteee wanashangilia, simba ni kikundi kidogo tuu cha uhamasishaji. kwa hiiyo yanga iko juu saana hata mahudhurio ya uwanjani yanga wanaongoza, ndo maana CECAFA wakawaomba warudi mashindanoni

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 08, 2011

    Msiandikie mate wakati udenda upo, nendeni national jipya mkawaone hao simba walivyonyong'onyea. Viwango vya TZ vimepanda sana. Subiri dimba la leo ndo utajua YANGA ni dunia muzima.....Yanga hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.

    ReplyDelete
  12. AnonymousJuly 08, 2011

    Simba ni nomaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! mtoto hadeki kwa mama wa kambo ss simba tulishalijua hilo wanaccm(yanga) wanatuona ss kama wazamiaji katika ardhi na michezo hapa Tanzania.Toka nje usikie simba anavyounguruma na kuwatetemesha wapizani hilo wote wanalijua japo wapo wabishi km yanga.Simba itasonga mbele daima kwan nitaifa kubwa teule!
    by mr van-iringa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...