Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais - Utawala Bora,Mh. Mathias Chikawe (kulia) akiwa na Mkurugenzi wa Rasilimali watu wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL),Bw. Steven Kilindo wakifungua mashindano maalum ya pool yaliyofanyika mjini Dodoma leo,ambapo kumefanyika mchezo kati ya wabunge wa bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania na viongozi wa Tbl,Chama cha Pool na Integrated Communication Ltd.Wengine Pichani ni Baadhi ya viongozi wa Chama cha Pool Tanzania pamoja na Meneja wa Bia ya Safari Lager,Oscar Shelukindo.
 Kwa habari kamili BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...