Beki wa Simba, Amir Maftah (kulia) akichuana na beki wa El-Mereikh ya Sudan,Badrr Eldin Eldod katika mchezo wa nusu fainali ya Kombe la Kagame kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.Dakika tisini za mchezo huo zimemalika kwa timu hizo zikiwa zimefungana bao 1-1,hivyo zimeongezwa dakika thelathini za zianda na hali ikibaki kuwa hivyo hivyo basi matuta lazima yapigwe mpaka mshindi apatikane.(Picha na Francis Dande ,Globu ya Jamii).
Home
Unlabelled
Mechi ya Simba na El Mereikh uwanja wa Taifa jijini Dar
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...