Home
Unlabelled
minyororo ughaibuni
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mnyororo lakini unasogea, barabra pana, madereva heshima juu, hakuna kuchomekezeana. Pia kwenye picha sijaona kipanya hata kimoja. Unamwona hata mpanda baiskeli hapo kulia anavuka barabra kiulani. Bongo uwe au usiwe muda wa kazi ni foleni.
ReplyDeleteUsitake kuwafanya viongozi wa tanzania wabweteke,tofauti ya bongo na washington dc ni kwamba foleni za miji mikubwa ya huku foleni zinaenda tena fasta ingawa magari ni mengi na njia kuu za kuingilia mjini ni nyingi,kwa hiyo usifananishe kabisa kifo na usingizi ndugu yangu.Bongo gari lipo kwenye foleni halisogei kokote some time for more than ten minutes.
ReplyDeleteLakini uko naona ata Magari yote yanaumeme, sio kama kwetu kwenye nyumba tu tunashindwa.
ReplyDeleteFoleni kila nchi, sasa ikiwa wao taifa kubwa wana foleni je sisi itakuwaje? UK ndio foleni kibao!!!!!!!
ReplyDeletekuna tofauti kubwa kati ya magari mengi barabarani na traffic jam.....
ReplyDeleteHizi mifano ndo inafanya watanzania tusifike popote. Hizi mentality kuwa hata marekani kuna foleni ndo zinatusababisha tuwe wazembe.Kwanza foleni nyingi za Marekani zina last less than 1 hour sio kama bongo toka posta mpaka mwenge umbali wa chini ya maili 40 inakuchukuwa siku nzima. Pili foleni zetu(marekani) mara nyingi zinasababishwa na ajali au kama kuna matengenezo sio kama bongo ambapo hamfuatilii sheria za barabarani kisha mnarundikana ktk makutano hakuna anayetoka wala kuingia. Michuzi umeanza kuniboa na akili za kimanzichana.
ReplyDeletecomplaint, complaint complaint . Solutions solutions nil. Watanzania kulalamika tu nyie wenyewe hamwezi . wataalamu wenyewe wamesupp.
ReplyDelete