Miss Ilala Salha Israel katikati akiwa kwenye picha ya pamoja na warembo wenzake msindi wa pili Alexia William kusho na mshindi watatu Jenifer Kakolaki kulia waliojipatia tiketi ya kushiriki shindano la kitaifa la Vodacom Miss Tanzania 2011.
Ofisa udhamini wa Vodacom Tanzania Ibrahim Kaude akimpongeza Miss Ilala Salha Israel mara baada ya kutangazwa mshindi na kujikatia tiketi ya kushiriki katika shindano la kitaifa la Vodacom Miss Tanzania pamoja na wenzake mshindi wa pili na watatu.Shindano hili lilifanyika katika viwanja vya mnazi mmoja jijini Dares Salaam.
Warembo tano bora walioingia katika shindano la kumtafuta miss Ilala usiku huu,Mrembo Salha Israel ndiye alieibuka kidedea na kujipatia tiketi ya kushiriki shindano la kitaifa la Vodacom Miss Tanzania 2011,Shindano hili lilifanyika katika viwanja vya mnazi mmoja jijini Dares salaam.

Mrembo Alexia William akijibu swali na kuweza kujipatia ushindi wa namba mbili na kuweza kujikatia tiketi ya kuriki shindano la kitaifa la Vodacom Miss Tanzania 2011.
Mmoja wa washiriki wa Miss Ilala akionyesha kipaji chake cha kuchezea nyoka katika shindano la kumtafuta Miss Ilala ambapo Salha Israel ndiye alieibuka kidedea katika shindano hilo na kujipatia tiketi ya kushiriki shindano la kitaifa la Vodacom Miss Tanzania 2011.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...