Hi Ankal
Would you please do me a favor
I am a tanzanian young man who lives and works in The United States,I would like to have a future wife from Tanzania,The ideal wife should be young,energetic and good looking,She must also have some knowledge of English, be ready to relocate and above all she must be a Muslim who practice Islam and always wear Hijjab.Interested should mail me at (abdulkarimyusuph@yahoo.com )
Thank you in advance
AbdulKarim
kazi kweli kweli. aina mbalimbali za postings. kutafuta kiwanja, wafanyakazi na pia kuuza vitu mbalimbali. hii ndoa ya intreneti, sijui. ila hata wakijitokeza, itakuwa muafaka kweli? mie ningependa mdau alieleta hili tangazo atupe mrejesho wa maendeleo, no need to disclose names
ReplyDeletehaya chacha!!!!! si uingie hata facebook jamani. lol. na wasiovaa hijab watavaa this time. just for u.
ReplyDeleteAsalaam aleiykum,
ReplyDeleteUmri haumati? Maana sijaona suala la mume au utafuata sunna ya Mtume Mohammed (S.A.W.) ya kuoa mke alokuzidi umri.
Mie ni mjane wa miaka 37 na nina watoto wawili. Nina sali sala 5 na kustiri maungo yangu ila sivai ninja.
tuombe mungu mail hii iwe ya kheri, it smells rat
ReplyDeleteNyie mnaotaka wachumba, wake kutoka home muwe wawazi, mseme ukweli kuwa huko maisha ni magumu ni kuchakarika kwa kwenda mbele hakuna cha housegirl wala nini ni kazi kwa kwenda mbele. Mseme wazi kuwa kila kitu kinakwenda kwa plans hakuna kuwaste time kukaa kitako kutwa mtu anaangalia TV maana kama TV program huko ni za kumwaga. Na wasifikiri kuwa huko waendako ni peponi maana kuna wenzio walibeba wake kutoka home wanalia sasa hivi maana wake zao wameshindwa kuadapt maisha ya huko.
ReplyDeleteyou cannot even express yourself in English. sema unatafuta mwanamke tu, hayo mengine utamfunza kama elimu ama dini
ReplyDeleteYOU WANT A GOOD LOOKING WIFE, ARE YOU A GOOD LOOKING MAN??? MAMBO YA IJABU UTAWEKWA KWENYE MOST TOP TEN WANTED WEWE, DINI NI MOYO WAKO NA SIYO VAZI BABA.
ReplyDeleteacha kuota bro! mke hatafutwi ktk net, njoo milembe ujaziwe filter za kibongo ktk ubongo wacha kuiga akili za kizungu.
ReplyDelete