Marehemu Onesphory B. Mgowi

Jumuiya ya Watanzania wa CantonOhio inasikitisha kutangaza kifo cha
Onesphory B Ngowi kaka wa Edna na Cecylia Ngowi kilichotokea huko Dar es salaam Tanzania July 4, 2011.


Mazishi yamepangwa kufanyika Jumatano  July 6, 2011 Dar es salaam Tanzania. Kwa Wakazi wa Marekani msiba upo nyumbani kwa Edna ngowi
1540 Robin CT S.E, CantonOhio 44707.
Misa ya kumuombea Marehemu  itafanyika  Canton, Ohio at Walsh University Chapel - 2020 East Maple St North Canton, Ohio 44720 Jumamosi tarehe  tisa July 2011 saa Moja Jioni,  Wote Mnakaribishwa.
Kwa maelezo zaidi tafadhali wasiliana na
EDNA NGOWI 330 413 7982
CECYLIA NGOWI 330 456 8903
ZITTO LESTER 614 556 9937
JAY MSANGI 330 418 6401
JOE NGWILIZI 330 361 1933.

MUNGU AILAZE ROHO YAKE MAHALA PEMA PEPONI AMINA.
Eternal the rest grant to him Oh Lord, and let perpetual light shine upon him, May he rest in PEACE

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 06, 2011

    RIP Bro. Poleni sana wafiwa tupo pamoja.

    Michu najua sio makosa yako ni ya mwandishi, rekebisha hapo sio Internal the rest grant to him oh Lord sahihi ni "Eternal rest grant unto him O Lord"

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...