Hassan Moshi William akiongoza safu ya ushambuliaji ya Msondo Ngoma usiku wa kuamkia leo wakati wa uzinduzi wa shoo za kila Ijumaa katika kijiji cha Makumbusho, Kijitonyama, Dar. Maonesho hayo yanaanza saa 12 jioni hadi saa sita usiku na wapenzi kibao wa Msondo Ngoma wamefurahia hatua hii
Rapa machachari Romanus Mn'gande Romario akiwa kazini
Mambo hadharani
Safu ya uimbaji ya Msondo Ngoma ni vijana watupu lakini ladha ni ile ile kama kawa
Vyombo vipya
Si mchezo
Pangamawe na mwenzie wakisema na nyuzi
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...