Muda na ukumbi kwa ajili ya kuona baadhi ya kazi na ushauri wa bure wa jinsi ya kuboresha nyumba vitatajwa baadae.
Pia atafanya home visits na mwenye kuhitaji atume email:
decos@interiordecos.com ili kuweka appointment.
Kwa walio nje ya Dar es Salaam, tuma picha ya nyumba yako na kupata ushauri kwa njia ya mtandao.
Kwa maelezo zaidi tembelea
Kampuni za ughaibuni huwa hazitumii simu za mkononi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
ReplyDelete