Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 14, 2011

    Naomba sana watanzania tukae tufikiri siasa za uchinga na fitina hazita leta maendeleo bali chuki na fitina na umwagaji wa damu naomba wana ccm na wazee wanao fikiria wao ni ccm damu ccm siyo yenu bali ni ya watanzania pili kama mwalimu alikuwa mkali kuhusu mambo ya siasa za fitina na ujinga na ukabila muheshemiwa kikwete huu ndio wakati umefika wa viongozi wazee na vijana ndani ya ccm kusimama imara na kuleta sauti moja ndani ya chama na siyo siasa za kijinga ambazo hazitaleta maendeleo kunamatatizo mengi yanayotakiwa kutatuliwa umasikini,elimu,afya,kazi,usafiri,usalama,bara bara ,maji safi,umeme, leo nyinyi viongozi ndani ya chama mnaanza kuleta siasa za kipumbavu ambazo hazina faida kwa watanzania,watanzania mwalimu alikuwa shujaa kama hamjui muulize nchi nyingi ambazo wanasema mungu angewapa kiongozi kama mwalimu wangekuwa mbali,mwalimu alikuwa apendi udini,ukabila, na alikuwa apendi siasa za ujinga,Mheshimiwa Raisi umefika wakati wa kusimama na miguu yako yote miwili na kuwa kiongozi imara bila kuangalia huyu ni rafiki yangu au amekaa ndani ya chama kwa muda mrefu tunataka sasa viongozi watakao fanya kazi na sio porojo au maneno ya yasiyo kuwa na vichwa wala miguu.mheshiwa baadhi ya viongozi wako ndani ya cha wanafikiria chama ni chao nasema CCM ni ya watanzania,naomba ufika kwa wazee kuacha kuachia ngazi ilitupate viongozi wapya wenye idea mpya ambazo zitaleta maendeleo ndani ya chama na kwa watanzania.
    Na kwa ndugu zangu watanzania naomba kiongozi kama ni mzuri awe wa ccm au wa chama cha upinzani kama anafanya kazi ya ukweli na anasiasa za ujinga tumpe heshima yake sababu anafaa kwa uma na kama ana leta siasa za chuki siasa ambazo hazina ukweli hafai. huyo ni sawa sawa na nduri kwa hiyo tusimcague hata kidogo maana yake afai kwa uma wala taifa.
    asanteni

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...