Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete akivishwa skafu na kijana wa Chipukizi muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Mtwara tayari kuongoza Maadhimisho ya Sherehe za Mashujaa zinazofanyika Naliendele Mkoani Mtwara
Baadhi ya wakazi wa mji wa Mtwara wakimsalimia kwa shauku Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Mtwara tayari kuongoza Maadhimisho ya Sherehe za Mashujaa zinazofanyika Naliendele Mkoani Mtwara.(picha na Freddy Maro).
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...