Hayati Sekou Toure Mndeme
Leo saa 6 mchana:
chakula cha mchana ,nyumbani kwa marehemu
Leo saa 7 mchana:
heshima za mwisho , nyumbani kwa marehemu
Leo saa 9 alasiri:
kuanza safari kuelekea Usangi,
Mwanga kwa mazishi
Ijumaa tarehe 15/07/2011 saa 9 alasiri:
mazishi ,Usangi Mwanga
Jumamosi tarehe 16/07/2011 saa 2 asubuhi:
Safari kurudi Dar es Salaam.
Poleni sana MARIAM MNDEME. Tuko pamoja.
ReplyDeleteShinjia mboa bro ,, Mfumwa Mrungu akurongorie akuinge mbone yedi ,,,vose ture va ndambo,utuombee ha mrungu
ReplyDeleteMdau Kisangara Mwanga
May you REST IN ETERNAL PEACE Toure, takukumbuka daima.
ReplyDeleteAsante Anko Michuzi kwa taarifa.
omg,Im very shocked to read the news of his passing. May you Rest in Peace Sekou Toure..God Bless
ReplyDelete