Sehemu ya Savannah Lounge, kiota kipya cha maraha ndani ya Quality Centre barabara ya Nyerere (zamani Pugu) road jijini Dar es salaam. Kiota hiki chenye nafasi nene ndani na parking ya kutosha na usalama wa uhakika kwa nje tayari ndilo gumzo la sasa miongoni mwa wapenda mitoko iliyoenda shule. Kwa mujibu wa meneja wake hivi sasa programu kibao zinaandaliwa baada ya kufunguliwa rasmi Jumamosi ilopita
Quality Centre usiku
Kaka Michuzi ni nani mmiliki wa hiyo Quality Center? ni group moja na Quality group?
ReplyDelete