Viongozi wa Tanzania Media Fund (TMF) wakifuatilia kwa umakini bajeti ya wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika wakati waziri wa wizara hiyo Jummanne Maghembe(hayupo pichani) alipokuwa akiisoma leo bungeni mjini Dodoma. TMF kupitia mpango wao wa fellowship kwa mwaka huu imefadhili waandishi wa habari watano kwa ajili ya kuandika habari za uchunguzi kuhusu masuala ya kilimo vijijini kwa kipindi cha miezi sita.
Home
Unlabelled
tanzania media fund wahudhuria kikao cha bunge dodoma
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Hongereni sana tmf kutukomboa waandishi wa habari, ujio wenu umetoa sura mpya ya uwajibikaji katika utoaji wa fedha na uandishi wa habari.
ReplyDeletedodoma aaaah dodoma yawanatanzaniaaaa rest in peace Dr.remmy
ReplyDelete