Mkurugenzi wa mamlaka ya udhibiti wa petroli nchini RWANDA, Bw. Prosper Bamara akiangalia vifungio vya kisasa vya malori yanayo beba mafuta ambavyo huzuia uibaji wa mafuta yanayo safirishwa kwenda ndnani na nnje ya nchi katika kampuni inayo tengeneza matanki ya malori ya super dool tanzania ltd kulia kwake ni mwenyekiti wa chama cha wasafirishaji mafuta tanzania TATOA Bw. Seif Ally Seif. ujumbe huo wa kutoka nnchini rwanda ulikuja baada serekali kuanza zoezi la kuzuia uchakuaji wa mafuta ambao ulikuwa ni tatizo kubwa lililoifanya wasafirishaji wa mafuta kuonekana siyo waminifu.
Home
Unlabelled
TANZANIA YAPONGEZWA KWA KUANZA KUZUIA UCHAKACHUAJI WA MAFUTA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...