Uongozi wa Tanzanian Muslim Community Washington Metropolitan (TAMCO), unapenda kuwatangazia na kuwaalika nyote kwenye TAMCO Family /Picnic Day. Njoo tujumuike pamoja na Kuinjoy nice summer day.
Jiunge nasi kwenye gathering; Kutakuwa na michezo mbalimbali kwa wakubwa na watoto, Nyama choma na Maanjumati na wakadha wakadha.
USISAHAU MFUKO WA RAMBO
Jumapili ya tarehe 10 July 2011 kuanzia saa nane mchana mpaka saa tatu usiku (2:00PM - 9:00PM).
Address:
Hillandale PAB - Hillandale Local Park :
MD 20903
Wenu
Uongozi
Tanzanian Muslim Community in Washington DC Metropolitant.
Phone : 301-613-5165
uongozi@tamcousa.org
www.tamcousa.org
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...