TANZANIAN MUSLIM COMMUNITY in THE Washington metropolitan AREA (TAMCO) FAMILY/PICNIC DAY
Uongozi wa Tanzanian Muslim Community Washington Metropolitan (TAMCO), unapenda kuwatangazia na kuwaalika nyote kwenye TAMCO Family /Picnic Day, Jumapili hii ya tarehe 10 July 2011 kuanzia saa nane mchana mpaka saa tatu usiku (2:00PM - 9:00PM).
Address:
Hillandale PAB - Hillandale Local Park:
10615 New Hampshire Avenue,
Silver Spring,
MD 20903
Njoo tujumuike pamoja na Kuinjoy nice summer day.
Jiunge nasi kwenye gathering; Kutakuwa na michezo mbalimbali kwa wakubwa na watoto, Nyama choma na Maanjumati na wakadha wakadha.
Wenu
Uongozi
Tanzanian Muslim Community in Washington DC Metropolitant.
Phone : 301-613-5165
uongozi@tamcousa.org
"Mfuko wa Rambo" vipi ? Hautakiwi tena ?
ReplyDelete"Hakuna michango",hizi kauli mbona zafutwa ?
Hizi kauli zilinogesha tangazo la mwanzo.