Janeth Isinika akiongoza safu ya ushambuliaji ya wavulana usiku wa kuamkia leo kwenye shoo yao ya Equator Grill, Mtoni kwa Azizi Ally, jijini Dar
Wakongwe Lwiza Mbutu, ambaye pia ni kiongozi wa bendi, na Lillian Internet, wakiongoza vijana wa kizazi kipya cha Twanga Pepeta, kwenye shoo hiyo
Kizazi kipya cha unenguaji cha Twanga Pepeta ni kivutio kikubwa katika bendi hiyo kongwe
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...