Mkuu wa Wilaya ya Mvomero, Mkoa wa Morogoro, Fatma Mwassa, akizindua kitabu cha taarifa za maendeleo ya Mkoa wa Morogoro tangu kupatikana kwa uhuru 1961-2011, kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa huo, Luteni Kanali Mstaafu , Issa Machibya, julai mosi, Wilayani Mvomero.

 Baadhi ya wanawake na wasichana wa shule za Sekondari, wa Wilaya ya Mvomero wakisarebuka wakati wa uzinduzi wa maadhimisho ya miaka 50 ya uhuru  ya kimkoa , Julai Mosi mwaka huu na kilele ni Julai saba, mwaka huu.
Maofisa wa Jwtz, pamoja na wananchi  wengine wa Mkoa wa Morogoro, akiangalia uliozalishwa wa zao la mpunga kwa kutumia zana za kisasa ili kufikia lengo la kuwa ghala la taifa la chakula. Picha na John Nditi, Globu ya Jamii, Mvomero

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...