Promota Muddy Bawazir akiwa na mabondia Mbwana Matumla (shoto) na Francis Miyeyusho |
SISI KAMA WAANDAAJI KWA KUTAMBUA JINSI MCHEZO WA NGUMI ULIVYO NA HAMASA KUBWA KWA SASA TUKAAMUA KUANDAA PAMBANO HILI BORA KABISA NA TUNAAHIDI KULETA MAPINDUZI MAKUBWA SANA KATIKA TASNIA HII YA MASUMBWI TANZANIA KWA KUANDAA KATIKA UKUMBI ULIO BORA NA MAZINGIRA YOTE PAMOJA NA MAANDALIZI YA KIMATAIFA KAMA INAVYOKUWA KATIKA MAPAMBANO YA KIMATAIFA TUNAYOYAONA KUPITIA LUNINGA ZETU.
YOTE HAYA HAYATAFANIKIWA BILA KUPATA SAPOTI YA MAKAMPUNI YETU ILI TUENDELEZE MCHEZO HUU WA NGUMI KAMA MICHEZO MINGINE.
AHSANTENI SANA.
MODDY BAWAZIR
MKURUGENZI DARWORLD LINKS LTD
0715 666686.
AHSANTENI SANA.
MODDY BAWAZIR
MKURUGENZI DARWORLD LINKS LTD
0715 666686.
sielewi... hawa si wamesha sign mkataba? Kama hela haitapatikana watapigana bure. Mimi nataka kudhani ila naomba kaka michuzi tuwekee mkataba wali sign kwanza.
ReplyDelete