Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Prof. Makame Mbarawa (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya yeye na Waziri wa Teknolojia, Habari na Mawasiliano wa Rwanda, Dk. Ignace Gatare (katikati) kufanya ziara ya kikazi kukagua mitambo ya mkonga wa mawasiliano wa EASSy uliopo Makao Makuu ya Zantel jijini Dar es Salaam jana. Kulia ni Afisa Mkuu wa Biashara wa Zantel, Norman Moyo.
Home
Unlabelled
Waziri wa Mawasiliano wa Rwanda azuru Zantel
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...