Gari hizi zimepaki katika maeneo yasiyoruhusiwa huku madereva wa magari hayo wakiwa wameenda kwenye shughuli zao bila wasi wasi wowote,kana kwamba wamepaki magari yao kwenye sehemu inayoruhusiwa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 30, 2011

    ujiulize huyo aliyeandika na kuweka hilo tangazo ana mamlaka kisheria? Inatakiwa alama rasmi ianayotambulika na vyombo vya serikali .

    ReplyDelete
  2. ZeroBrainJuly 30, 2011

    We kwani huoni kuwa huyo ni LENA?

    Bado hajajua alama za barabarani. wasameheni tu.

    ReplyDelete
  3. Those NO PARKING signs can be ignored! They are not enforced by law. Hao ni watu binafsi wameweka tu matangazo ili wakija wao waweke magari yao.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...