Afisa uhusiano wa Airtel , Jane matinde (kulia) akikabidhi mfano wa cheque yenye thamani ya shilling millon tano kwa Naibu mkuu wa chuo cha uhandisi na technologia UDSM prof. Felix Mtalo kwa lengo la kuchangia seminar maalumu iliyoandaliwa kwaajili ya kusherehekea miaka 50 ya chuo kikuu cha Dar es salam itakayofanyika tarehe 10 hadi 11 Augasti 2011. Kushoto ni mwenyekiti kamati maandalizi ya kongamano Dr. Juma Mohamed.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...