1. Hakuna habari ama picha inayowekwa kapuni baada ya kuonekana ukurasa wa kwanza. inahamia ukurasa wa pili ama wa tatu kutokana na wingi wa habari na picha kwa siku.
3. Kutafuta habari kwa jina la mtu, sehemu, ama tukio angalia juu kulia na juu ya picha ya Ankal utakuta maneno 'Tafuta chochote hapa' ndani ya kisanduku. Weka mshale wako hapo hayo maneno yatapotea kishwa weka jina la mtu ama kitu ama tukio utavipata bila kelele wala mikwaruzo.
5. Chini ya picha ya Ankal juu kulia pana neno 'Kumbukumbu' ambapo ukibofya utapata kumbukumbu ya Libeneke ya Globu ya Jamii toka lilipoanza rasmi mnamo Septemba 8, 2005 kule Helsinki, Finland. Si vibaya ukatembelea habari na taswira za huko nyuma.
5. Chini ya picha ya Ankal juu kulia pana neno 'Kumbukumbu' ambapo ukibofya utapata kumbukumbu ya Libeneke ya Globu ya Jamii toka lilipoanza rasmi mnamo Septemba 8, 2005 kule Helsinki, Finland. Si vibaya ukatembelea habari na taswira za huko nyuma.
4. Anza namba moja. Hapa hakuna masharti wala vigezo vya kuzingatia. Wewe ni kubofya kwa kwenda mbele kuendelea kufaidi mambo ya Globu ya Jamii.
Libeneke Oye!
Ankal salam sana kutoka huku ugaibuni,asante sana kwa kutupatia habari mabali mbali za huko nyumbani Tanzania,blog yako ndiyo inayoongoza kwa kupendwa na watanzania tuishio ugaibuni,Ombi langu kuu ni kukuomba ujitahidi kui "activate" blog hii ya jamii ili iwe na speed ya kutosha,maana nadhani kutokana na u bussy uliopo humu blog hii imekuwa slow kila unapo"click"kutoka hatua moja hadi nyingine,kwa hiyo jitahidi kuboresha swala hili,maoni haya ni kwa nia njema na mapenzi ya blog yetu hii ya jamii,daima libeneke litadumu,asante.
ReplyDeletemdau Washington Dc,Usa.
mkuu wa libeneke, libeneke oyeee, hivi mkuuu huwezi kuligeuza libeneke liwe kama forums, nadhani litafunika sana, habari ni nyingi yaaani inakua kazi kubonyeza habari zilizopita, kama ni forum basi habari zinaweza kuwa katika majukwaa mbalimbali mfano siasa , uchumi, burudani nk, nadhani lingevutia sana, au unaonaje mkuu wa libeneke? asante kwa habari za nyumbani
ReplyDeleteIkiwa forum itakuwa mbaya.. hivi hivi ndio poa.. hamna haja ya kuchagua.. we unasoma kila kilichomo
ReplyDelete