1. Hakuna habari ama picha inayowekwa kapuni baada ya kuonekana ukurasa wa kwanza. inahamia ukurasa wa pili ama wa tatu kutokana na wingi wa habari na picha kwa siku.
2. Kuingia ukurasa unaofuata nenda chini kabisa kulia bofya penye 'Habari Zilizopita' utakuwa umepatia
3. Kutafuta habari kwa jina la mtu, sehemu, ama tukio angalia juu kulia na juu ya picha ya Ankal utakuta maneno 'Tafuta chochote hapa' ndani ya kisanduku. Weka mshale wako hapo hayo maneno yatapotea kishwa weka jina la mtu ama kitu ama tukio utavipata bila kelele wala mikwaruzo.
5. Chini ya picha ya Ankal juu kulia pana neno 'Kumbukumbu' ambapo ukibofya utapata kumbukumbu ya Libeneke ya Globu ya Jamii toka lilipoanza rasmi mnamo Septemba 8, 2005 kule Helsinki, Finland. Si vibaya ukatembelea habari na taswira za huko nyuma.
4. Anza namba moja. Hapa hakuna masharti wala vigezo vya kuzingatia. Wewe ni kubofya kwa kwenda mbele kuendelea kufaidi mambo ya Globu ya Jamii.
mzee wa libeneke wewe upo juu sana huna mpinzani blogu yako inatusaidia mambo mengi ambayo huwezi kuyakuta katika blogu nyingine za kitanzania.
ReplyDelete