Ankal akioneshwa nini maaana ya babekyuu. Mwenyeji ni Kaka Benja (mwenye kisinglet) na hapo ni nyumbani kwake Baltimore, Maryland, wikiendi hii.  Ankal anapenda kutoa shukrani kwa Kaka Benja na mai waifu wake pamoja na wadau kibao wa Maryland waliompa bonge la kampani alipowatembelea

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. ankal ndizi unakiwa umenye imanikwe sio ya mpunga maana umeshaitia kwapani kwa mwelekeo wa mpunga ahaaaa ahaaa,bwegenaz

    ReplyDelete
  2. Sasa auncle mbona wewe ndo umeharibu pozi apo haupo katika pozi la babakyuu? Ilitakiwa na wewe uwe ndani ya mpensi na msingi-lend wa kutosha tu. Any way hope babakyu seshen ilikuwa mzuka.

    ReplyDelete
  3. Je, unajua utomvu wa ndizi mbichi ukiingia kwenye nguo hautoki? Au ile ilikuwa zamani.

    ReplyDelete
  4. Ankal vipi mwezi mtukufu haujafika huko marekani? Mana tunaona mchana kabisa na bado munakandamiza mababekyuu yenu.

    ReplyDelete
  5. Ankal wewe Kobe? Mchana kweupe unachana kama hauna akili nzuri? LOL. nyama kweli tamu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...