Home
Unlabelled
ankal katika bonge la babekyuu la baltimore, maryland
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Haki ya nani nyie wababa ni waroho, watoto wametoka kapa!
ReplyDeleteAnkal hongera ingawa hukuja kututembelea huku vijijini. Next time tafadhali chukua likizo ya muda mrefu ufike mpaka kwetu. Huo muziki wa kwanza umenikumbusha mbali sana Tazara Hostel Kinondoni mayenu miaka iliyopita. Tafadhali naomba the name of the song na mwanamuziki alioyeupiga
ReplyDeletekwa kweli hata mie nimewahurumia hao watoto nyama zote zinaliwa watoto wanaangalia, Lo wababa nyie roho za nyama zimewakamata, ingekuwa ni mama hapo kwanza angepewa mtoto, typical african men!hahahaaaa
ReplyDeleteIssa Michuzi mwezi umeuona?Au macho yangu?
ReplyDelete