Balozi Amina Salum Ali akiwa katika picha ya pamoja na aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Dunia (World Bank), Ms Ngozi Okonjo- Iweala na ambaye ni waziri wa fedha wa nchini Nigeria hivi sasa mara baada ya Mazungumzo yao yaliyofanyika katika ofisi za World Bank/IMF jirani na zilipo ofisi za Umoja wa Africa, (African Union) , mjini Washington DC, nchini Marekani, ambapo Balozi Amina Salum Ali ni mwakilishi wake.
Home
Unlabelled
Balozi Amina Salum Ali akutana na aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Dunia
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...