Bwawa la Maini Oyeeeeeeeee.......
Washambuliaji wa Bwawa la Maini Luis Alberto Suárez (kushoto) na Dirk Kuyt wakipongezana mara baada ya kumalizika kwa mchezo dhidi ya washika bunduki wa London (Arsenal) ambao wamelala kwa 2-0 katika mchezo uliomalizika hivi punde kwenye uwanja wa Emirate.Bwawa Oyeeee......
Martin Kelly wa Bwawa La Maini (Liverpool) akichuana vikali na beki wa Arsenal,Aaron Ramsey ambaye ametusaidia kupachika bao la kwanza.
Tulia mjombaaaaa....,utakuja vunjika bureeeee.....
uwanja umenuna kwa upande wa Asenali...poleni mwee







Ankal, Andy Carroll is a flop.
ReplyDeleteankali hakyamungu mimi shabiki no1 wa arsenal lakini kwa hiki kikosi cc ni kushuka daraja tu huu mwaka we timu kubwa zina wachezaji wazuri na bado zinasajiri ye kabaki na siasa zake za kale na tukitoka kwenye hii UEFA ndogo wiki hii ndo akili itamkaa sawa AONDOKEEEEEEEE BWANA TUMEMCHOKA HUYU MZEE LOL.....!
ReplyDeleteUmekosea Heading,Headin inatakiwa hivi:baada ya miaka 11 Hatimaye Liverpool wawafunga Arsenal baada Arsenal kuchezesha kikosi B kilichokosa wachezaji 7 wa kawaida,plus red card na kujifunga.
ReplyDeleteNadhani hayp ni maoni ya kwa nini arsenal imefungwa, kichwa habari ndo hicho hapo juu
ReplyDeleteWALETENII MAN UNITED.MIMI NIKO TAYARI KUWEKA DAU NA YOYOTE,NITAWEKA LAKI 2 NA MFUASI YOYOTE WA MAN U AWEKE JIWE TAREHE 15.OCT. LAZIMA TUTAWAFUNGA TU.MSHINDI ATACHUKUA JIWE PAMOJA NA LAKI 2
ReplyDelete