Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akizungumza na Uongozi wa wizara ya Biashara, Ikulu Mjini Zanzibar ,katika mkutano uliojadili masuala ya kukuza uchumi wa Zanzibar na kuwaletea maendeleo wananchi wake.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akizungumza na Uongozi wa wizara ya Biashara, Ikulu Mjini Zanzibar,katika mkutano uliojadili masuala ya kukuza uchumi wa Zanzibar na kuwaletea maendeleo wananchi wake.kushoto wa kwanza ni Makamo wa kwanza wa Rais Maalim Seif Sharif,akifuatiwa na Makamo wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi.Picha na Ramadhan Othman,IKulu.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...