Kinamama na watoto katika futari hiyo
Kinababa wakifuturu
Kama ilivyo kawaida ya watanzania wa ugiriki kila mwezi wa Ramadhani kuandaa futari ya pamoja kwenye ofisi ya jumuiya,na mwaka huu tuliiendeleza ada hii.Tulikutana 27/08 Jumamosi na kila mmoja-bila kubagua- alileta futari aliyoiandaa nyumbani kwake.
Tunamuomba Allah atujaalie SWAUMUN MAQBUUL
Tunamuomba M wenyezi Mungu atupe uhai na mwakani tuifanikishe zaidi AMEN.
Kwa picha za ziada tembelea fb "serengeti ugiriki" na watanzania " ugiriki"pia blog ya "wabongo ughaibuni".
KAYU LIGOPORA
KATIBU WA JUMUIYA
Safi sana.Mdumishe huo mshikamano.Hivi hao wagiriki lugha yao inaitwaje?Manake hayo majina karagounis,panathinaikos ni noma.Nawatakia Eid njema wiki ijayo
ReplyDeleteNi mimi
David V
Mimi nawapenda sana hawa wadau wa ugiriki wana umoja wa kweli mno kwa shida na raha wako pamoja MUngu awabariki sana.
ReplyDeletemdau canada
WWW.TANZANIANSINGREECE.ORG kwa picha zaidi
ReplyDeleteNa wahusudu hawa watu waishio ugiriki ni kweli kila mwaka mwezi wa ramadhani wanafanya hii futari ya pamoja Mungu awazidishie na moyo huo huo wa kuwa pamoja ni mfano ambao unatakiwa kuigwa na waTZ wote waishio mbali na kwao huo ndio umoja mnasahau mambo yote na kujumuika katika raha na shida hayo ndiyo maisha
ReplyDelete